Text: | Utukufu ni wa Mungu |
Author: | G. B. Funk |
Utukufu ni wa Mungu juu,
tukuzo lote, uwezo wote ni
wa Mungu,
Bwana wetu, Bwana wetu,
Mungu ni wa pekee
Mungu ni wa pekee
Shangilio lake lijaze popote,
jina lake litukuzwe na watu wote.
Tumshangilie Mungu wetu na
Bwana wetu nyimbo za tukuzo
Tumpeni heshima zote, tumwibie,
Sifa na tukuzo zampasa,
zote ni zake Mungu wetu!
Text Information | |
---|---|
First Line: | Utukufu ni wa Mungu juu |
Title: | Utukufu ni wa Mungu |
German Title: | Preis und Anbetung |
Author: | G. B. Funk (kabla ya 1769) |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1988 |
Topic: | Baba Mwana na Roho Mtakatifu Mungu mmoja |
Notes: | Sauti: Preis und Anbetung by Chr. H. Rinck, 1826, Posaunen Buch #333 |