Instance Results

In:instances
Text Identifier:"^mungu_na_atufadhili_na_kutubariki$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 2 of 2Results Per Page: 102050

Zaburi 67

Hymnal: Nyimbo za Imani Yetu #17 (2003) First Line: Mungu na atufadhili na kutubariki Refrain First Line: Watu wakushukuru Mungu Languages: Swahili Tune Title: [Mungu na atufadhili na kutubariki]
Text

Zaburi 67

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #17 (1994) First Line: Mungu na atufadhili na kutubariki Refrain First Line: Watu wakushukuru Mungu Lyrics: 1 Mungu na atufadhili na kutubariki Ee mungu, na kutuangazia uso wake, ee. Refrain: Watu wakushukuru Mungu, Watu wote wakushukuru. Wakushukuru Mungu, ee, Watu wote wakushukuru. 2 Njia yake ijulike dunia-ni Wokovu wake kati ya mataifa yote. [Refrain] 3 Mataifa yote, kote na washangilie, Maana kwa haki utawahukumu watu. [Refrain] 4 Mungu wetu, ametubariki sana sisi; Nchi imetoa mazao, itamcha yeye. Topics: Irada, Sifa Na Injil; Neno La Mungu Scripture: Psalm 67 Languages: Swahili

Export as CSV