Instance Results

In:instances
Text Identifier:"^watu_wa_yesu_sifuni_bwana$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 2 of 2Results Per Page: 102050
Text

Watu Wa Yesu

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #3 (1994) First Line: Watu wa Yesu, sifuni Bwana Lyrics: 1 Watu wa Yesu, sifuni Bwana, M-tangazeni, ulimwenguni, Sifa za Yesu, zienee pote, Mataifa yote, yamsifu Yesu. 2 Humilki pote, mbingu na n-chi, Ufalme wake, hauna mwisho, Wote wa mbinguni m-tukuzeni, Msifuni daima hata milele. 3 Neema yake ni nyingi sana, Upendo wake ni wa ajabu, M-linzi, M-chunga,Mwokozi wetu Mfarifi, Mwombezi na Kiongozi. 4 Fadhili zake zaonekana, Anavikidhi viumbe vyake, Vyakula, vinywaji ni vingi kwake, Mwangaza na mvua atugawia. 5 Sifuni Bwana kamwimbieni, Anastahili fahari yoge, Heshima na pendo m-peni Bwana, Mwokozi Mwombezi na Mfalme Yesu. Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: Psalm 104:1 Languages: Swahili
Page scan

Watu Wa Yesu

Hymnal: Nyimbo za Imani Yetu #3 (2003) First Line: Watu wa Yesu, sifuni Bwana Languages: Swahili Tune Title: LYONS

Export as CSV