Hosiana! Asifiwe ajaye kwa jina la Bwana! Hosiana mbinguni! Anakuja kwa jina la Bwana, anakuja kwa jina la Bwana. Hosiana! Hosiana! Hosiana mbinguni! Hosiana mbinguni!Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #1