Ubatizo Alama Ya Utiifu

Kwa kuwa umemkiri

Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Kwa kuwa umemkiri,
Yesu Mwokozi,
Kwa Kuwa umemkiri,
Yesu Mwokozi,
Alama ya Ubatizo
Alama ya Ubatizo ni utiifu,
ni utiifu kwako.

2 Kwa kuwa utamwandama,
Yesu po pote,
Kwa kuwa utamwandama,
Yesu po pote,
Uiwe msalaba,
Uinue msalaba usione
haya tena.

3 Kwa kuwa utaogopa
Yesu kumkiri,
Kwa kuwa hutaogopa
Yesu kumkiri,
Po pote uendapo,
Po pote uendapo tangaza
wokovu wake.



Source: Nyimbo Za Imani Yetu #285

Text Information

First Line: Kwa kuwa umemkiri
Title: Ubatizo Alama Ya Utiifu
Language: Swahili
Notes: Sauti: by M. G. Mutsoli, © 1994
Copyright: Public Domain

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #285

Suggestions or corrections? Contact us