Mwokozi wetu amepaa

Mwokozi wetu amepaa

Author: Josua Wegelin (1640)
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Mwokozi wetu amepaa
mbinguni! Neno hili
linatufariji sasa
katika woga wote.
Kikiwa hickwa mbinguni,
hata viungo vyafika
alikokwenda yeye.

2 Mwokozi wetu
amepaa mbinguni,
mwenye nguvu,
mbinguni nitapokewa
nitengemane kweli.
Sababu hii ninataka
kufika pale, alipo
Mwokozi wangu Yesu.

3 Mwokozi wetu amepaa
mbingui! Nakuomba:
Bwanangu nisaidie
nikutegemee wee.
Nikufuate daima,
mwisho nifike kwako juu
mikiacha dunia.

Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #120

Author: Josua Wegelin

Wegelin, Josua, D.D., son of Johann Wegelin, or Wegelein, then superintendent (Ephorus) of the Evangelical college at Augsburg, was born at Augsburg Jan. 11, 1604. After studying at the University of Tübingen (M.A. 1626), he was for a short time pastor at Budweiler, and was appointed in 1627 fourth diaconus of the Franciscan (Barfüsser) church at Augsburg. In 1629, along with 13 other Evangelical pastors, he was compelled to leave Augsburg by the decree of Restitution enacted by the Emperor Ferdinand III. After Gustavus Adolphus had become master of the city, in 1632, Wegelin was recalled to the Barfüsser Kirche as archidiaconus. In 1633 he was appointed preacher at the Hospital Church of the Holy Ghost, but in 1635, as a result of the… Go to person page >

Text Information

First Line: Mwokozi wetu amepaa
German Title: Auf Christi Himmelfahrt allein
Author: Josua Wegelin (1640)
Language: Swahili
Notes: Sauti: Es ist gewisslich an der Zeit, Asili: Wittenberg 1536, Posaunen Buch, Erster Band #115, Augustana Hymnal #264, Lutheran Book of Worship #321

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Mwimbieni Bwana #120

Suggestions or corrections? Contact us