Sayuni, ufrahi!

Sayuni, ufurahi!

Author: Friedrich Heinrich Ranke
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Sayuni, ufurahi!
Shangilia Yerusalemu!
Yuaja Mfalme wako,
mwenye amani kwako.
Sayuni, ufurahi!
Shangilia Yerusalemu.

2 Hosiana, Mesiya
utubariki sasa.
Jenga ufalme wako
ulimwenguni mwote.
Hosiana, Mesiya
utubariki sasa.

3 Hosiana! Pongezi!
Twakuamkia Bwana!
Kiti cha enzi qako
chasimama milele.
Hosiana! Pongezi!
Twakuamkia Bwana!


Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #3

Author: Friedrich Heinrich Ranke

German Protestant theologian. Author of a number of hymns, two of which are still in general use: *Tochter Zion, freue dich, sung to the tune MACCABAEUS *Herbei, o ihr Gläubigen, a translation of "Adeste fideles" He also pubished a translation of Bunyan's Pilgrim's Progress and a two-volume study on the Pentateuch. Go to person page >

Text Information

First Line: Sayuni, ufurahi!
Title: Sayuni, ufrahi!
German Title: Tochter Zion, freue dich
Author: Friedrich Heinrich Ranke
Language: Swahili
Notes: Sauti: Seht, er kommt mit Preis gekrónt by G. F. Händel, 1747

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Mwimbieni Bwana #3

Suggestions or corrections? Contact us