Instance Results

In:instances
Text Identifier:"^watu_wote_duniani$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 3 of 3Results Per Page: 102050

Watu Wote Duniani

Hymnal: Nyimbo za Imani Yetu #temp_15a (2003) Hymnal Title: Nyimbo za Imani Yetu Languages: Swahili Tune Title: OLD 100TH

Watu Wote Duniani

Hymnal: Nyimbo za Imani Yetu #temp_15b (2003) Hymnal Title: Nyimbo za Imani Yetu Languages: Swahili Tune Title: [Watu wote duniani] (Makathimo)
TextPage scan

Watu Wote Duniani

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #15 (1994) Hymnal Title: Nyimbo Za Imani Yetu Lyrics: 1 Watu wote duniani, Mwimbieni Mungu wetu, M-cheni na kumsikia, Njoni kwake na furaha. M-cheni na kumsikia, Njoni kwake na furaha. 2 Milima, bahari zote, Nyota nazo,jua pia, Na vyote alivyoumba, M-sifuni Mungu wenu. Na vyote alivyoumba, M-sifuni Mungu wenu. 3 Muumba ni Mungu peke, Wa watu na vitu vyote, Mwenyezi nchini na juu, Ndiye M-linzi wa watu. Mwenyezi nchini na juu, Ndiye M-linzi wa watu. 4 Tumfurahie daima, Tumkaribie kitini, Anao uzima kweli, Ndiye Mchungaji wa wote. Anao uzima kweli, Ndiye Mchungaji wa wote. 5 Tumsifuni siku zote, Kwa shukrani tumwimbie, Atutawale daima, Kwa wingi, wa neema yake. Atutawale daima, Kwa wingi, wa neema yake. Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: James 1:17 Languages: Swahili

Export as CSV