Please give today to support Hymnary.org during one of only two fund drives we run each year. Each month, Hymnary serves more than 1 million users from around the globe, thanks to the generous support of people like you, and we are so grateful.

Tax-deductible donations can be made securely online using this link.

Alternatively, you may write a check to CCEL and mail it to:
Christian Classics Ethereal Library, 3201 Burton SE, Grand Rapids, MI 49546

Kazi Yake Mungu Baba

Kazi yake Mungu Baba

Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Kazi yake Mungu Baba
imewekwa kwetu.
Kazi yake Mungu Baba
imewekwa kwetu.
Tangu Mwanzo wa Mitume
hadi hivi sasa.
Tangu Mwanzo wa Mitume
hadi hivi sasa.

Refrain:
Na Yeye
Katuagiza
Kasema
Kwa Mamlaka
Aliyo
Pewa na Baba
Nendeni
Duniani pote.
Hubirini kwa Jina la Baba,
Mwana, Roho, watu waokoke.
Hubirini kwa Jina la Baba,
Mwana Roho watu waokoke.

2 Mataifa wana njaa
ya Neno la Mungu.
Mataifa wana njaa
ya Neno la Mungu.
Nayo kiu ya milele
imewakalia.
Nayo kiu ya milele
imewakalia. [Refrain]

3 Hivyo ndugu tutimize
wajibu wa Bwana.
Hivyo ndugu tutimize
wajibu wa Bwana.
Ili siku ikifika
tutoe hesabu.
Ili siku ikifika
tutoe hesabu.[Refrain]


Source: Nyimbo Za Imani Yetu #163

Text Information

First Line: Kazi yake Mungu Baba
Title: Kazi Yake Mungu Baba
Language: Swahili
Refrain First Line: Na Yeye
Publication Date: 1994
Notes: Sauti: Mapokeo (Tanzania) Tufurahi na Kuimba #30
Copyright: This text may still be under copyright because it was published in 1994.

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #163

Suggestions or corrections? Contact us
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.