Thanks for being a Hymnary.org user. You are one of more than 10 million people from 200-plus countries around the world who have benefitted from the Hymnary website in 2024! If you feel moved to support our work today with a gift of any amount and a word of encouragement, we would be grateful.

You can donate online at our secure giving site.

Or, if you'd like to make a gift by check, please make it out to CCEL and mail it to:
Christian Classics Ethereal Library, 3201 Burton Street SE, Grand Rapids, MI 49546
And may the promise of Advent be yours this day and always.

Wimbo Wa Shukrani

Mshukuruni Mungu, kwa kuwa Yeye mwema

Tune: [Mshukuruni Mungu, kwa kuwa Yeye mwema]
Published in 2 hymnals

Representative Text

1 Mshukuruni Mungu, kwa kuwa Yeye mwema.
Ana fadhili za milele

2 Ni Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana.
Ana fadhili za milele

3 Afanya maajabu, nchi ameiumba.
Ana fadhili za milele

4 Mianga huko juu, mbingu kwa hekima.
Ana fadhili za milele

5 Kwa mchana na usiku, jua mwezi na nyota.
Ana fadhili za milele

6 Alipiga kwa ufu, wazaliwa wa kwanza.
Ana fadhili za milele

7 Alitoa dwa nguvu, Waisraeli tena.
Ana fadhili za milele

8 Na Bahari ya Shamu, Yeye aliigawa.
Ana fadhili za milele

9 Ee, katikati Mungu, Yakoba akamyusha.
Ana fadhili za milele

10 Ee, Farao na watu, akawaangamiza.
Ana fadhili za milele

11 Huwaongoza Mungu, watu katika jangwa.
Ana fadhili za milele

12 Na wafalme wakuu, akawaua pia.
Ana fadhili za milele

13 Sihoni, tena Ogu, akawachinda Bwana.
Ana fadhili za milele

14 Nchi yao ni fungu, Yakobo akapewa.
Ana fadhili za milele

15 Katika udhilifu, sisi hutukumbuka.
Ana fadhili za milele

16 Wote watesi wetu, wao wamefukuzwa.
Ana fadhili za milele

17 Viumbe, Walimwengu, wanapewa chakula.
Ana fadhili za milele

18 Mshukuruni Mungu, mbinguni anadaa.
Ana fadhili za milele



Source: Nyimbo Za Imani Yetu #19

Text Information

First Line: Mshukuruni Mungu, kwa kuwa Yeye mwema
Title: Wimbo Wa Shukrani
Language: Swahili
Refrain First Line: Ana fadhili za milele

Timeline

Instances

Instances (1 - 2 of 2)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #19

Nyimbo za Imani Yetu #19

Suggestions or corrections? Contact us
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.