Paulo na Sila waliomba

Paulo na Sila waliomba

Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Paulo na Sila waliomba,
Paulo na Sila waliomba;
Milango ya gereza ikafunguka,
Milango ya gereza ikafunguka.
Paulo na Sila waliomba,
Paulo na Sila waliomba;
Milango ya gereza ikafunguka,
Milango ya gereza ikafunguka.

2 Na sisi tuombe kama yesu,
Na sis tumbe kama yesu;
Watu wote waokoke kwenda Mbinguni,
Watu wate waokoke kwenda Mbinguni.
Na sisi tuombe kama yesu,
Na sis tumbe kama yesu;
Watu wote waokoke kwenda Mbinguni,
Watu wate waokoke kwenda Mbinguni.

3 Paulo na Sila waliomba,
Paulo na Sila waliomba;
Milango ya gereza ikafunguka,
Milango ya gereza ikafunguka.
Paulo na Sila waliomba,
Paulo na Sila waliomba;
Milango ya gereza ikafunguka,
Milango ya gereza ikafunguka.



Source: Nyimbo Za Imani Yetu #109

Text Information

First Line: Paulo na Sila waliomba
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Notes: Sauti: Mapokeo
Copyright: This text may still be under copyright because it was published in 1994.

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #109

Suggestions or corrections? Contact us
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.