3. Sayuni, ufurahi!

1 Sayuni, ufurahi!
Shangilia Yerusalemu!
Yuaja Mfalme wako,
mwenye amani kwako.
Sayuni, ufurahi!
Shangilia Yerusalemu.

2 Hosiana, Mesiya
utubariki sasa.
Jenga ufalme wako
ulimwenguni mwote.
Hosiana, Mesiya
utubariki sasa.

3 Hosiana! Pongezi!
Twakuamkia Bwana!
Kiti cha enzi qako
chasimama milele.
Hosiana! Pongezi!
Twakuamkia Bwana!

Text Information
First Line: Sayuni, ufurahi!
Title: Sayuni, ufurahi!
German Title: Tochter Zion, freue dich
Author: H. Ranke, 1798-1878
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Yesu anangojewa
Notes: Sauti: Seht, er kommt mit Preis gekrónt (JUDAS MACCABEUS) by G. F. Händel, 1747; Mtunga maneno: Posaunen Buch, Zweiter Band #391
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us