239. Safirini kwa amani

Safirini kwa amani,
na Mungu wetu awalinde
tena majeshi ya mbingu.
Yesu akiwaongoza
mwafurahiwa hila siku:
Za raha hata za shida.
Kwa heri! Kwa heri!
Mwokozi wetu mkuu
awe nanyi!
Tuombapo tusisahau
kuombeana daima.

Text Information
First Line: Safirini kwa amani
Title: Safirini kwa amani
German Title: Ziehl in Frieden eure Pfade
Author: G. Knak, 1806-1873
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Kumtambikia Mungu: Sikukuu za Wakristo
Notes: Sauti: Zieht in Frieden eure Pfade, Posaunen Buch, Erster Band #62, Nyimbo za Kikristo #191
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us