Text: | Sikiliza ewe mtu mkosaji |
Author: | Mch. Sila Msangi |
1 Sikiliza ewe mgu mkosaji
Hutaweza kuyafuta makosa.
Refrain:
Yes mdiye tu kufuta
Awezaye tu makosa,
Awezaye tu makosa.
2 Tu wanyonge hata nguvu hatuna
Hatuwezi kujiosha makosa. [Refrain]
3 Njooni kwake mpokee msamaha
Damu yake yatuosha makosa. [Refrain]
4 Nijia yako e Bwana Mungu wetu
Tusikose kufuata kabisa. [Refrain]
5 Usikie wanao wakiomba
Tuwezeshe kujishika na wewe. [Refrain]
Text Information | |
---|---|
First Line: | Sikiliza ewe mtu mkosaji |
Title: | Sikiliza ewe mtu mkosaji |
Author: | Mch. Sila Msangi |
Refrain First Line: | Yesu ndiye tu kufuta |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1988 |
Topic: | Kujuta na kutegemea: Kutegemea |
Notes: | Sauti: Mch. Sila Msangi |