1 Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana
Angalia sana ndugu yangu
Angalia sana
Angalia ngdugu yangu
Angalia sana
Ulevi ndiyo
Angalia sana
Ya dunia yatapita
Angalia sana
2 Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana
Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana
Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana
Kuna wazee wangi wamemwasi Bwana
Angalia ndugu yangu
Angalia sana
Maisha yako
Angalia sana
Kina mama
Angalia sana
Angalia baba yangu
Angalia sana
Ya dunia yatapita
Angalia sana
Text Information | |
---|---|
First Line: | Kuna vijana wengi wamemwasi Bwana |
Title: | Vijana Wenti Wamemwasi Bwana |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | |
Topic: | Ushuhuda |
Notes: | Sauti: Mapokeo |