
Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #65 (1994) First Line: Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu Refrain First Line: Sasa tunafurahi, Mwokozi amekuja Lyrics: 1 Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu,
Ndiye Mwana wa Mungu Aliyetabiriwa.
Refrain:
Susa tunafurahi, Mwokozi amekuja,
Tutamwimbia pote wengine wamwamini.
2 Alixhuka kabisa ndiye Muumba wa vyote,
Akaaye mbinguni amelala horini. [Refrain]
3 Je, wachunga, habari? Mbona m-nafurahi?
Mnatafuta nini ham-jali Konod-o? [Refrain]
4 Neno latushangaza, twaona malaika,
Wamasema kwa shangwe, Mwokozi kazaliwa. [Refrain]
5 Nasi tumefurahi kwa kuzuliwa kwake,
Tutatangaza pote wengine wafurahi. [Refrain] Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:11 Languages: Swahili
Amezaliwa Yesu