Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu

Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu

Published in 2 hymnals

Representative Text

1 Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu,
Ndiye Mwana wa Mungu Aliyetabiriwa.

Refrain:
Susa tunafurahi, Mwokozi amekuja,
Tutamwimbia pote wengine wamwamini.

2 Alixhuka kabisa ndiye Muumba wa vyote,
Akaaye mbinguni amelala horini. [Refrain]

3 Je, wachunga, habari? Mbona m-nafurahi?
Mnatafuta nini ham-jali Konod-o? [Refrain]

4 Neno latushangaza, twaona malaika,
Wamasema kwa shangwe, Mwokozi kazaliwa. [Refrain]

5 Nasi tumefurahi kwa kuzuliwa kwake,
Tutatangaza pote wengine wafurahi. [Refrain]

Source: Nyimbo za Imani Yetu #65

Text Information

First Line: Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu
Refrain First Line: Sasa tunafurahi, Mwokozi amekuja
Publication Date: 2003
Copyright: Public Domain

Timeline

Instances

Instances (1 - 2 of 2)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #65

Text

Nyimbo za Imani Yetu #65

Suggestions or corrections? Contact us