Text: | Watu Wote Duniani |
1 Watu wote duniani, Mwimbieni Mungu wetu,
M-cheni na kumsikia, Njoni kwake na furaha.
M-cheni na kumsikia, Njoni kwake na furaha.
2 Milima, bahari zote, Nyota nazo,jua pia,
Na vyote alivyoumba, M-sifuni Mungu wenu.
Na vyote alivyoumba, M-sifuni Mungu wenu.
3 Muumba ni Mungu peke, Wa watu na vitu vyote,
Mwenyezi nchini na juu, Ndiye M-linzi wa watu.
Mwenyezi nchini na juu, Ndiye M-linzi wa watu.
4 Tumfurahie daima, Tumkaribie kitini,
Anao uzima kweli, Ndiye Mchungaji wa wote.
Anao uzima kweli, Ndiye Mchungaji wa wote.
5 Tumsifuni siku zote, Kwa shukrani tumwimbie,
Atutawale daima, Kwa wingi, wa neema yake.
Atutawale daima, Kwa wingi, wa neema yake.
Text Information | |
---|---|
First Line: | Watu wote duniani |
Title: | Watu Wote Duniani |
Language: | Swahili |
Publication Date: | 1994 |
Scripture: | |
Topic: | Irada, Sifa Na Injil |
Notes: | Sauti #1: Doxology (Old 100th): (Baptist Hymnal 1991 #253, Nyimbo za Sifa #18) Mlio wa G - Mapigo 4/4; Sauti #2: by David Makathimo (© 1994 David Makathimo) Mlio wa G - Mapigo 3/4 |