302. Utukufu Mbinguni Juu

1 Utukufu mbinguni
Juu Bwana katujia
Twendeni tukamuone
Mkombozi wetu

Refrain:
Sote tu,
Piga yowe
Kwa shangwe
Amekuja mkombezi wetu,
Aa! tumlaki.

2 Mjinin Bethlehemu
Yesu kazaliwa
Manbii walivyosema
Ikatimia. [Refrain]

3 Apewe ni utukufu
Bwana wa majeshi
Tumwabudu ndiye Mungu
Tumsujudie. [Refrain]

4 Yesu Bwana turehemu
Sisi watu wako
Tupe neema na pendo
Tukushangilie. [Refrain]

Text Information
First Line: Utukufu mbinguni
Title: Utukufu Mbinguni Juu
Author: M. G. Mutsoli
Refrain First Line: Sote tu
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Scripture:
Topic: Kuzaliwa Kwake Kristo; Safari Ya Mbinguni
Copyright: © 1994 M. G. Mutsoli
Notes: Sauti ya Kiluhya, Tumsifu Mungu #16
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us