Browse Texts

In:texts

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1,731 - 1,740 of 1,789Results Per Page: 102050
TextPage scans

Usiku mtakatifu

Author: J. Mohr, 1792-1848 Appears in 1 hymnal Lyrics: 1 Usiku mtakatifu! Wengine walala wakeshao ni Yosefu tu na Maria waliomlinda Yesu mwana mzuri Yesu mwana mzuri. 2 Usiku mtakatifu! Wachunga wapewa habari nzuri na malaika, zienezwe popote sasa: Yesu mponya kaja Yesu mponya kaja. 3 Usiku mtakatifu! Siku ya furaha imetuangaza Kimungu tumeupewa ukombozi Kristo amefika Kristo amefika. Topics: Kuzaliwa kwa Yesu
TextPage scans

Usiku uingiapo

Author: P. Gerhardt, 1607-1676 Appears in 1 hymnal Lyrics: 1 Usiku uingiapo, umwaze Mungu mkuu, aendeshaye dunia kwa mwendo mtulivu. 2 Kwa nini unahangaika usiku na mchana? Umtwishe huzuni yako aliyekuumba. 3 Kwake haujapunguka uwezo na msaada. Atayatimiaz yote aliyoyaanza. 4 Ukamwachie kutenda atakalo kwako! Kwa hiyo ulale raha na kufurahiwa. Topics: Kumtambikia Mungu Nyimbo za Jioni
Text

Usiku ulipotolewa

Author: J. Rambach, 1693-1735 Appears in 1 hymnal Lyrics: 1 Usiku ulipotolewa, Yesu, umetugawia mapato ya mateso yako, tukumbuke kufa kwako. Waaminio wakusifu wakija karamuni kwako. 2 Tunakumbuka kufa kwako, tukila mwili wako huu; twapewa nguvu ya uzima tukinywa damu yako hii. Karamu hii tunayopewa yatuonyesha pendo lako. 3 Huu mkate ni chakula kweli, hii damu yatutuliza; mioyo yetu yapumzishwa tukila mezani kwako. Tunaongezwa nguvu zetu, za kukutegemea vema. 4 Twahirikiana nao wote walio viungo vyako; kwani tunashibishwa sote kwa mwili na damu moja. Tu kundi la mchungaji mmoja, kwa hivi twapatana sote. 5 Twapewa mwili wako Bwana, tujue kweli ya kwambaa miili yetu ya unyonge itageuka vizuri. Tutapokea mwisho kwako miili mipya ya uzima. 6 Watupa mema mengi Bwana Mwana Kondoo wake Mungu mwenyewe u chakula chetu, kweli twatunzwa vizuri. Twakila hapa kwa uchungu, lakini kwako kwa furaha. Topics: Chakula cha Bwana

Usiku Walipoketi

Author: Nahum Tate Appears in 3 hymnals First Line: Usiku walipoketi wachunga wa kondoo
TextPage scans

Usinipite Mwokozi

Author: Fanny Crosby, 1820-1915 Appears in 2 hymnals Refrain First Line: Yesu, Yesu Unisikie Lyrics: 1 Usinipite Mwokozi, Unisikie; Unapozuru wengine, Usinipite. Refrain: Yesu, Yesu Unisikie; Unapozuru wengine, Usinipite. 2 Kiti chako cha rehema Nakitazama: Magoti napiga pale, Nisamehewe. [Refrain] 3 Sina wa kutegemea, Ila Wewe tu; Uso wako uwe kwangu; Nakuabudu. [Refrain] 4 U Mfariji peke yako; Sina mwingine, hapa duniani pote, Ila wewe tu. [Refrain] Topics: Kujuta na kutegemea Kujuta
Page scans

Usiogope Maadui

Appears in 1 hymnal Refrain First Line: Yesu ni Mlinzi Topics: Safari Ya Mbinguni; Ushuhuda Scripture: 1 Peter 5:7

Üsküdar'a gederikin (Kâtip)

Author: Oda Ferber; Memed Çapan Appears in 1 hymnal First Line: Üsküdar'a gideriken aldı da bir yaĝmur (Auf dem Weg nach Üsküdar, da kam ein starker Regen) Topics: Eine Melodie - viele Lieder; One Melody - Many Songs; Traditional Secular Turkish; Traditionelle Weltlich Türkisch Used With Tune: [Üsküdar'a gideriken aldı da bir yaĝmur] Text Sources: Trad. Song from Istanbul

Pages


Export as CSV