Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #17 (1994) First Line: Mungu na atufadhili na kutubariki Refrain First Line: Watu wakushukuru Mungu Lyrics: 1 Mungu na atufadhili na kutubariki
Ee mungu, na kutuangazia uso wake, ee.
Refrain:
Watu wakushukuru Mungu,
Watu wote wakushukuru.
Wakushukuru Mungu, ee,
Watu wote wakushukuru.
2 Njia yake ijulike dunia-ni
Wokovu wake kati ya mataifa yote. [Refrain]
3 Mataifa yote, kote na washangilie,
Maana kwa haki utawahukumu watu. [Refrain]
4 Mungu wetu, ametubariki sana sisi;
Nchi imetoa mazao, itamcha yeye. Topics: Irada, Sifa Na Injil; Neno La Mungu Scripture: Psalm 67 Languages: Swahili
Zaburi 67