Instance Results

‹ Return to hymnal
Hymnal, Number:nziy1994
In:instances

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 61 - 70 of 308Results Per Page: 102050
TextPage scan

Yesu Kristo Azaliwa

Author: Elkana Mashimba Hymnal: NZIY1994 #63 (1994) First Line: Yesu Kristo, Azaliwa Lyrics: 1 Yesu Kristo, Azaliwa, Yesu Kristo, Azaliwa, Mjini Bethelehemu.Jina lake ni nani? Imanueli, Mungu pamoja nasi wanadamu. 2 Toka mbali Mashariki, Toka mbali Mashariki, Walikuja Mamajusi, Kuja kumsufudu, Mwana wa mungu. Maliaka mbinguni wamsifu. 3 Nyota ili Waongoza, Nyota ili Waongoza, Mamajusi waliiona, Mjini mwake Yuda, Nyumba ya Daudi, Masihi amekuja, Haleluya! 4 Leo wangi Wanimba, Leo wengi Wanaimba, Haleluya, haleluya! Imbeni na furaha. Na ku-sifu, Mwokozi amekuja kwetu sis. 5 Ni usiku Wa amani, Ni usiku Wa amani, Tumsifu Mungu wetu, Duniani amani, Ameleta, Utukufu kwa Mungu juu mbinguni. Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:11 Languages: Swahili
Page scan

Tangaza Milimani

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: NZIY1994 #64 (1994) First Line: Wachunga walipolinda kondoo usiku Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:17 Languages: Swahili
TextPage scan

Amezaliwa Yesu

Hymnal: NZIY1994 #65 (1994) First Line: Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu Refrain First Line: Sasa tunafurahi, Mwokozi amekuja Lyrics: 1 Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu, Ndiye Mwana wa Mungu Aliyetabiriwa. Refrain: Susa tunafurahi, Mwokozi amekuja, Tutamwimbia pote wengine wamwamini. 2 Alixhuka kabisa ndiye Muumba wa vyote, Akaaye mbinguni amelala horini. [Refrain] 3 Je, wachunga, habari? Mbona m-nafurahi? Mnatafuta nini ham-jali Konod-o? [Refrain] 4 Neno latushangaza, twaona malaika, Wamasema kwa shangwe, Mwokozi kazaliwa. [Refrain] 5 Nasi tumefurahi kwa kuzuliwa kwake, Tutatangaza pote wengine wafurahi. [Refrain] Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:11 Languages: Swahili
Page scan

Alizaliwa Yesu

Author: David Makathimo Hymnal: NZIY1994 #66 (1994) First Line: Alizaliwa Yesu alipokuja Refrain First Line: Mtoto alilazwa kule horini Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:11 Languages: Swahili
Text

Yesu, Yesu, Amezaliwa

Author: Gerard Mpango Hymnal: NZIY1994 #67 (1994) First Line: Yesu, Yesu Amezaliwa Lyrics: 1 Yesu, Yesu Amezaliwa, Yesu, Yesu Amezaliwa, Amezaliwa siku ya leo. Amezaliwa siku ya leo. 2 Huyo Yesu Ndiye Mwokozi, Huyo Yesu Ndiye Mwokozi, Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi. Ndiye Mwokozi wa wenye dhambi. 3 Watu Wote Na tumwimbie, Watu Wote Na tumwimbie, Na tumwimbie siku ya leo. Na tumwimbie siku ya leo. 4 Duniani Leo amani, Duniani Leo amani, Leo amani kwa watu wake. Leo amani kwa watu wake. 5 Haleluya Tumtukuze, Haleluya Tumtukuze, Tumtukuze Mwana Daudi. Tumtukuze Mwana Daudi. Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:7 Languages: Swahili

Itangaze Habari Njema

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: NZIY1994 #68 (1994) First Line: Yesu Kristo alizaliwa Refrain First Line: Itangaze, Itangaze Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Matthew 28:19 Languages: Swahili
TextPage scan

Wachunga Wakesha

Author: David Makathimo Hymnal: NZIY1994 #69 (1994) First Line: Wachunga wakesha Lyrics: 1 Wachunga wakesha Kulina Kondoo Karibu na mji wa Bethlhem ya Yda, Malaika wa Mungu Malaika wa Mungu akaleta habari; Wachunga wakesah Kulinda Kondoo Karibu na mji wa Bethlehem ya Yuda, Malaika wa Mungu Malaida wa Mungu akaleta habri. 2 Mtoto kazakliwa Kristo Mkombozi Ndiye Mwana wa Mungu amelazwa horini, Nendeni Bethlehem Nendeni Bethlehem huko mtamwona; Mtoto kazakliwa Kristo Mkombozi Ndiye Mwana wa Mungu amelazwa horini, Nendeni Bethlehem Nendeni Bethlehem huko mtamwona. 3 'Ni ajubu kuu" Twende tukamwone Kule tumeambiwa na malaika wa Mungu, Mwokozi tumwone Mwokozi tumwone "Ni ajabu kuu;" 'Ni ajubu kuu" Twende tukamwone Kule tumeambiwa na malaika wa Mungu, Mwokozi tumwone Mwokozi tumwone "Ni ajabu kuu." 4 Walipoingia Pale kwenye zizi Ndipo walipomwona amelazwa horini, Wakam'abudu Wakam'abudu wakipiga magoti; Walipoingia Pale kwenye zizi Ndipo walipomwona amelazwa horini, Wakam'abudu Wakam'abudu wakipiga magoti. 5 Walimwengu wate Njoni tumwabudu Kwa myoyo ya furaha tumwabudu Mwokozi, Njoni tumwabudu Njoni tumwabudu Yesu amezaliwa; Walimwengu wate Njoni tumwabudu Kwa myoyo ya furaha tumwabudu Mwokozi, Njoni tumwabudu Njoni tumwabudu Yesu amezaliwa. Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:8 Languages: Swahili
Page scan

Wakristo Furahini

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: NZIY1994 #70 (1994) First Line: Wakristo wenzetu furahini nyoto mkiimba Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Psalm 33:1 Languages: Swahili
Page scan

Watoto Wadogo Njooni

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: NZIY1994 #71 (1994) First Line: Watoto wadogo njoni mwone Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 18:16 Languages: Swahili
Page scan

Furaha Kwa Ulimwengu

Hymnal: NZIY1994 #72 (1994) Topics: Irada, Sifa Na Injil; Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Psalm 30:4 Languages: Swahili

Pages


Export as CSV