Author: W. Cowper, 1731-1800 Appears in 1 hymnal Lyrics: 1 Ni damu idondokayo
mwlini mwa Yesu,
wakosaji wakioga,
husafishwa kweli.
Bwana wangu, Mungu wangu,
u uzimawangu,
umekutanana kufa
kwa ajili yangu!
2 Ilimpatia wokovu
mwizi kule mtini;
nami nisiyemtafuta,
inanisafisha.
Bwana wangu, Mungu wangu,
u uzimawangu,
umekutanana kufa
kwa ajili yangu!
3 Na shaushi aliyuemlinda
Yesu akiteswa,
naye akamshuhudia:
Ni mwana wa Mungu!
Bwana wangu, Mungu wangu,
u uzimawangu,
umekutanana kufa
kwa ajili yangu!
4 Nipe ulimi mpya Yesu
wa kukuimi mpya Yesu
w kukuimbia,
Babayo tutamtukuza.
jina lake pekee.
Bwana wangu, Mungu wangu,
u uzimawangu,
umekutanana kufa
kwa ajili yangu! Topics: Kuteswa na kufa kwa Yesu
Ni damu idondokayo