Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #15 (1994) Lyrics: 1 Watu wote duniani, Mwimbieni Mungu wetu,
M-cheni na kumsikia, Njoni kwake na furaha.
M-cheni na kumsikia, Njoni kwake na furaha.
2 Milima, bahari zote, Nyota nazo,jua pia,
Na vyote alivyoumba, M-sifuni Mungu wenu.
Na vyote alivyoumba, M-sifuni Mungu wenu.
3 Muumba ni Mungu peke, Wa watu na vitu vyote,
Mwenyezi nchini na juu, Ndiye M-linzi wa watu.
Mwenyezi nchini na juu, Ndiye M-linzi wa watu.
4 Tumfurahie daima, Tumkaribie kitini,
Anao uzima kweli, Ndiye Mchungaji wa wote.
Anao uzima kweli, Ndiye Mchungaji wa wote.
5 Tumsifuni siku zote, Kwa shukrani tumwimbie,
Atutawale daima, Kwa wingi, wa neema yake.
Atutawale daima, Kwa wingi, wa neema yake.
Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: James 1:17 Languages: Swahili
Watu Wote Duniani