1 Kwa kuwa hutaogopa ushuhuda wake, Ishara ile msalaba ndiyo alama kuu.
2 Kwa kuwa hutaogopa kusimama nae, Utukufu uupokee, na kuaibishwa.
3 Kwa kuwa hutauacha uimara wako, Tetea jina la Yesu, usije ogopa.
4 Kwa kuwa utapitia kwa njia nyembamba, Inua huo msalaba usiaibike.
4 Nasi twajiweka kwake, kwa hiyo ishara, Msalaba beba duniani, Mbinguni ni Taji.Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #248