Mapambazuko Yanakuja

Mapambazuko yanakuja

Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Mapambazuko yanakuja
na siku nazo zinasogea.
Mapambazuko yanakuja
na siku nazo zinasogea.
Mapambazuko yanakuja
na siku nazo zinasogea.
Mapambazuko yanakuja
na siku nazo zinasogea.
Nami natamani siku ile
ya kwenda nikayale matunda,
Matunda ya Edeni.
Nami natamani siku ile
ya kwenda nikayale matunda,
Matunda ya Edeni.
Nami natamani siku ile
ya kwenda nikayale matunda,
Matunda ya Edeni.
Nami natamani siku ile
ya kwenda nikayale matunda,
Matunda ya Edeni.

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #265

Text Information

First Line: Mapambazuko yanakuja
Title: Mapambazuko Yanakuja
Language: Swahili
Publication Date: 1994
Notes: Sauti: Mapokeo
Copyright: Public Domain

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #265

Suggestions or corrections? Contact us