Nina Ujumbe Wa Bwana Aliyeniokoa

Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa

Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ujube wa Bwana aa.
Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ujube wa Bwana aa.

2 Nina baraka za Bwana aliyeniokoa;
Nina baraka za Bwana aa.
Nina baraka za Bwana aliyeniokoa;
Nina baraka za Bwana aa.

3 Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ushindi wa Bwana aa.
Nina ushindi wa Bwana aliyeniokoa;
Nina ushindi wa Bwana aa.

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #263

Text Information

First Line: Nina ujumbe wa Bwana aliyeniokoa
Title: Nina Ujumbe Wa Bwana Aliyeniokoa
Language: Swahili
Copyright: Public Domain

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #263

Suggestions or corrections? Contact us