1 Tuombee Wakristo duniani, Wasiache ahadi za imani.
Refrain: Ee Bwana, Utujaze Roho Wako; Ee Bwana, Utujaze mioyoni.
2 Tuombee wakuu wa Kanisa, Wanaolitangaza Neno lako. [Refrain]
3 Hata na watawala wetu wote, Ili tuzidi kuwa na amani. [Refrain]
4 Ee Bwana, uwe nao mataifa, Wakubali Injili ya wokovu. [Refrain]
5 Tuwaombee wote waje Kwako, Wapate kukusifu siku zote. [Refrain]Source: Nyimbo Za Imani Yetu #210