Vumilia utaona mwisho

Vumilia utaona mwisho

Author: Sila F. Msangi
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Vumilia utaona mwisho
Kwamba umefika
Kimebaki kitambo kidog
Tufike mbinguni.

Refrain:
Pokea wokovu
Ngao yako imani
Nenda kwake
Yesu Mwokozi;
Pokea wokovu
Ngao yako imani
Nenda kwake
Yesu Mwokozi

2 Kwa imani tutakwenda mbele
Bila kulegea.
Wokovu ni wa thamani kubwa
Kwa damu ya Yesu. [Refrain]

3 Wasikia sauti yasema
Amini Injili,
Ukiwa katika giza kubwa
Amini Injili. [Refrain]

4 Imani kwa mambo yaliyopo
Na yale yajayo,
Mbele yetu ni njia ya kweli
Injili ya Yesu. [Refrain]

Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #367

Author: Sila F. Msangi

(no biographical information available about Sila F. Msangi.) Go to person page >

Text Information

First Line: Vumilia utaona mwisho
Author: Sila F. Msangi
Language: Swahili
Refrain First Line: Pokea wokovu

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Mwimbieni Bwana #367

Suggestions or corrections? Contact us