Vyenye uzima vimtukuze,
vimtukuze Bwana, vimtukuze,
vimtukuze, vimtukuze, hata
na utakatifu wake. Kwani
ameumba mbingu na nchi.
Vyenye uzima vimtukuze,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze.
Na magunda
na mazeze na filimbi na
vilangwi na viilanda
na vimtukuze!
Vyenye uzima na viimbe,
vimtukuze Bwana! Na
mugunda na vinanda vyote
vimtukuze Bwana wa majeshi!
Haleluya!