Hymnary.org will be partially unavailable March 5, 12:30 to 12:45 PM EST for system maintenance. Thank you for your patience. Hide this message

Yesu Mwema Mno

Representative Text

1 Yesu mwema mno, mlinzi wa viumbe,
Mwana wa mtu na wa Mungu
Nimwabudu Yesu, nim-sifu Bwana,
Mlinzi wa roho yangu.

2 Maua ni mema, hata na miti yote,
Na vimeavyo duniani,
Yezu huuzidi wema wa viumbe,
Hufurahisha rohoni.

3 Jua kitu chema, mwezi, nyota, usiku,
Na vyote vitaovyo nuru,
Nuru yake Yesu yazidi yo yote;
Huniangaza rohoniSource: Nyimbo Za Imani Yetu #12

Text Information

First Line: Yesu mwema mno, mlinzi wa viumbe
Title: Yesu Mwema Mno
English Title: Fairest Lord Jesus
Language: Swahili
Copyright: Public Domain

Tune

CRUSADERS' HYMN (111271)

ST. ELIZABETH appears to be an eighteenth-century tune from the Glaz area of Silesia. It has always been associated with this text. No factual data exists for the legend that this text and tune date back to the twelfth-century crusades, although those apocryphal stories explain one of the names by w…

Go to tune page >


Timeline

Instances

Instances (1 - 2 of 2)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #12

Nyimbo za Imani Yetu #12

Suggestions or corrections? Contact us