Log in to make the most of Hymnary.org collections.
1. Majaribu ni mengi yanayotujilia.
Bali Mungu anajua yanapotujilia.
Hima atatuongoza mpaka atuitapo.
Tutaelewa vema tufikapo.
(Itikio)
Kutakapopambazuka;
Wateule wakusanyikapo.
Tutahadithia ushindi wetu;
Tutaelewa vema tufikapo.
2. Mipango yaadimika, nasi twakufamoyo.
Twapotea gizani mioyo ikiwa mizito.
Bali tukiyafuata maneno yake Bwana,
Tutaelewa vema tufikapo.
3. Majaribu na mitego iliyojificha.
Nayo hutunasa ghafula tusipotarajia.
Basi, twajiuliza, kwani twajaribiwa?
Tutaelewa vema tufikapo.
First Line: | Majaribu ni mengi yanayotujilia |
Title: | KUTAKAPOPAMBAZUKA |
English Title: | When the Morning Comes |
Author: | Charles A. Tindley 1851-1933 |
Translator: | M. G. Mutsoli |
Language: | Swahili |
Refrain First Line: | Kutakapopambazuka |
Instances (1 - 1 of 1) | Title | First Line | Tune | Tune Key | Author | Meter | Scripture | Date | Subject | Source | ![]() | ![]() | ![]() | ![]() | ![]() | ![]() | ![]() |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nyimbo za Imani Yetu #305 | KUTAKAPOPAMBAZUKA | Majaribu ni mengi yanayotujilia | By and By | 2003 | ![]() |